Ata kipande modya la nchi ayiweze kwenda kwa aduyi vikosi la fardc wata shinda ma aduyi( constat Ndima)

Ata kipande modya la nchi ayiweze kwenda kwa aduyi vikosi la fardc wata shinda ma aduyi( constat Ndima)

Beni jaribio Siku la krismasi, ilipokuwa Siku 26 disimba mwaka uhu waziri Patrick Muyaya pamoja na djemadari liwali wa Kivu la mashariki walipo towa swali lao kuhusu mabomu mtaro .

Watu 8 wakifa ,kati lao afisa la vikosi,pa brigadi 22,alipo kuwa na watoto pamoja na bibi lake,esabu la watu wenye ku umizwa 20 kati lao wa binti miwili,biyana mmume,na wa dada miwili ,meya mkuu na makamo la mtaa rwenzori,na mtaa mulekera,waki Pata utunzo

Jaribio ilo ilipo tendwa pa saha 19h Siku la krismasi,shida kuhu lelo kutowa utambulisho la kigaidi kwani mwili wake ime pasuwa kwa minofu kidogo kidogo utshunguzi ita leta vitu la mahana apo drama ilipo kuwa masemi la waziri Muyaya.

Kukabiliana kigaidi la islamu ,waki lalishwa kati la raïa ikiwa tabu kuwa tambua
Naye liwali wa Kivu la mashariki akiongeza.
Kutokana kwa angalisho la usalama mahonio ilipo onyeshwa majengo la ma unity mpya la fardc na polisi dyu ya ukingo la vijiji,pamoja na kutya musimamu dyu ya kuwangaliya msogeo la watu na vitu lao;loopbak yame fanyishwa,kubakwa kwa vifaa la vikosi ,kuongoza Doria kubakilisha amri ya kutokoka nje pa saha 19h paali pa 21h pa Beni na saha 20 h dyu ya mji mku Goma na Butembo kwa ma opereshen iyi tume ongeza utengo la ma imbwa.
Kwa umanizo lake liwali wa Kivu la mashariki aki waalika raïa lake kwa ufunuwo macho n’a wawe na Ushindi moyoni lao kwani ata kipande modya la nchi ayi weze kwenda kwa aduyi.

Gilbert Fundi.

La Rédaction

Laisser un commentaire

Votre adresse e-mail ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *