Ilipo kuwa magaribi ya Siku 20 ya mwezi wa 10 Mwaka uyu tuna yo, waziri Patrick Muyaya Ali pokeya mwalimu Alphonse Tumba Luaba mbele ya wandishi dju atowe swali lake kuhusu gundi la usindikizi ya kongo kwa Bara la Afrika.
Kwa swali lake mwalimu Alphonse Tumba Luaba ameonesha wazi kazi enye baba wa taifa amefanya kupitiya vinukta 9 zenye îli weza kufanyizishwa dju ilete maendeleo katika Bara la Afrika.
Vinukta 9 djuu ya maendeleo tuna weza ku vi sabu : usindikizi la Amani mu Afrika,usindikizi kwa kipande la Kuga wanya mabadiriko ndani ya Bara la Afrika,madjengo la Inga , kupiganisha maendeleo la vigundi tokea Afrika na vijana letu,kusahidia vigundi la wakahadji wa afrika pamoja na waziri mwenye ku husika Na mambo la unyanuzi pamoja nao kuleta urembo kwa ulizo la kuridishwa vyombo la unianuzi
Na kusumurishwa pa sheria,kupikanisha kanyaka na kutowa mkononi pa afrika enye kupiganisha mambo kuhusu climat.
Rais Félix Tshisekedi ame baka msemo mpya » uwelezo mpya » ndiyo wazo modja la rais kitchwani Bara l’Afrika( Afrika kwa kazi la wa raia) ndiyo msemo wa mwalimu Alphonse Ntumba Luaba.
« Nini kongo imebaki kama vile matoleo »? Alphonse NTumba luaba alipo jibu ivi kwa sasa kongo imetosha kitshwani kwani ilipoteya tokea myaka 1967 Mwaka la mandamano la ujengo la kigundi la umoja la Afrika.
Desk swahili