Kiongizi la chama la siasa Moïse Katumbi Chapwe amenyanyuwa Laurent Onyemba kwa kiti la katibu kusika na mawasiliano na wapasha habari ndani ya chama la siasa pamoja dyu ya jamuhuri kupitiya katiba la inchi enye ilipo chaguliwa mwaka 2006 tena ku guswa mu febrary 2011 kwa sheria 11 /20 /2011 kwa nukta 06.
Kutokeya utilio iyi ilipo letwa kwa njia ya katibu mkuu la chama, kwa ujiyo la haraka ameitwa na âme karibishwa.