Msiba kubwa pa Soko la Matadi kibala Siku ya 2 februari 2022 ,kwa mtaa Mont- ngafula kifo la wahuzisadji ya vyashara wamama 26 wame kufa ,kati lao wanawake 24 na wanamme 2, wanduku wawili waki umizwa sana na vidonda la moto la umeme ,elezo la waziri Muyaya Patrick.
Patrick Muyaya alipo fika uko fasi ya msiba pamoja na wazari la ndani na liwali wa jumbo kinshasa na waziri la kwanza kwa elezo lake ame akikisha kwamba mwili za wa marehemu ya me lekezwa uko chumba cha baridi pa hospital mkuu la Mama yemo.
Kwa swali lake waziri Patrick Muyaya, pamoja na kigundi la waziri ya serkali wako pa makao la Soko dju la ku djuwa namna gani iki msiba ilipo fika na kuleta vyangalisho mbele ya ukusanisho ,serkali ana beba responsabiliti ya kuzika wa ndugu awa na kufatikiya hali ya afya la wale walipo umizwa.
Ya kudyuwa msiba izo yame tokea kupita njia kamba la umeme enye ilipo katwa kwa radi la vuwa mkuu enye ilipo nyesha usubiyi ya leo.