Alipo pokelewa pa tarehe 30 desemba kwa waziri Muyaya Patrick, saleswoman maluum wa katibu jenerali wa kigundi la umoja ya mataifa bibi Bintu Keita pamoja walipo towa swali la unganisho kati ya serkali ya jamuhuri ya kidemocratia ya Congo na mambo kuhusu madaraka upya la ujumbe la shirika la mataifa.
Unganisho ilo ime tadjwa pa operesheni pamoja na vikosi la monusco na serkali la congo kwa kipande la mashariki na ukamilifu uimarishaji ya amani kwa mradi jumuiya.
Kufwatana na swali lake bibi Bintu Keita, monusco iko na ushirika na serkali ya Congo démocratiki mara kwa mara wame towa juhudu.
Tuta fanya kwa uwezo letu djuu ya kuleta msahada kwa vikosi la jamuhuri ya kidemocratia ya congo kwa muungano pia na vikosi la uganda dyu ya ukamilifu ya operesheni dhidi ya adf ,alipo sema bibi Bintu Keita.
saleswoman maluum wa katibu jenerali wa kigundi la umoja ya mataifa bibi Bintu Keita, kufahamu tukio ya kitumo ujumbe kwa ujamii la wacongomani wa ukarimu wapiganishe vurugu wa jumuiya dyu ayo piya ni moja yenye kuleta mawuwadji ya waraia kwawo wenyewe,na ame alika wana nchi wadji toleye dyu ya ukamilifu ya amani.
Mucongomani wote ameitwa kutchaguwa njia ya amani na ujengo la ujamii enye akunapo migogoro na mjengo la urembo enye ku heshimu serkali .
Akiongeza kama ame shangaha kuona watu kutowa habari la uwongo pia na chuki kupitiya mitandao la ujamii.
Kiisha kuongezwa kwa madaraka la mwaka moja la monusco waraia ya Congo kipande la mashariki waki liya kwa vifo la wana lao dyu ya vigundi la wauwadji la ndani pia na la wa nje wenye kubaka silaha kwa nguvu na raia ilo awataki tena monusco, Ila ata serkali na monusco akuna mwenye ata itika kuona watu kufa ivo Ila monusco aki tumika dyu amani irudi kipande iyo.
Aki towa ushuhudu ya kwamba nao watakapo badirisha namna ya uwelezo nyipa mbele maelezo vibaya na nzuri enye wako nasikiya.
Kwake kiongizi pia msemaji la sarkali, waziri Muyaya Patrick, akiongeza ivo kwa ujio la madaraka mpya la monusco kwa azimio 2612 ilipo chaguliwa pa mwezi desemba,walipo salimu kazi ya serkali kupitiya utayari la siasa muhimu la uhakika la darasa la haki za binadamu,eshimu la serkali,ku wezesha democratia congo nzima.
Yulio Fundi