Ilipo fanyiswa ndani ya chumba la rtnc Siku ya 03 mwezi uhu, kwa ajili ya kufafanusha mambo la madini na kizuizi cha mafuta ,waziri kusika na mambo ya wapasha habari Patrick Muyaya,alie pokeya waziri Rose Mutombo, yeye aki usika na mambo la haki,pamoja na bwana André Wameso,yeye alipo kuwa makamo raisi la kamiti yenye walio leta makubaliano na kigundi ventora, walikuja kwa zoezi la mkutano
Ilikuwa muhimo kubaka kizuizi cha mafuta na Mali ya madini kuthatmini kwa bilioni 2 ya ki dola ya amerikani pa jamuhuri ya kidemocratia ya congo kwa kigundi Ventora ya mufanyabiashara Hakina Dan Getler, kwa utii jazanda la Raïs Félix Tshisekedi baba wa taifa,ya kuhona Mali na madini ya Congo irudi kwa wana ichi.
Kwa mkataba uhu Siku 24 febrary kati kati Kinshasa na mwakilishi ya kigundi Ventora yame wezesha Drc kubaka kipande ya kifalme ya kampuni kcc
Waziri Rose Mutombo, la haki,alipo wakilisha Drc kwa ongezi la uridisho ya mali na kizuizi cha mafuta,
Ilipo kuwa lazma ongezi iyi kwani Drc alikuwa na mkataba enye aku kuwa n’a ginsi ya kunyonya mali na ali kuwa akipoteza faida enye kutoka kwa mali, kwa iyo ndiye ongezi ilipokuwa dyu na kupitiya ma ripoti uko na uko , ilipo kamata mchakato murefu,na ilipo kuwa na madai wazi enye ilikuwa na kugawa mbele ya mahakama, ayiku wezesha Drc kubaka haki yake.
Bwana André Wameso,raïs makamo ya kamiti ku usika na majadiliano, kwa msemo lake ali akiakisha ya kwamba kuidinisha la amerikani kwa kigundi Ventora ndiyo imelazimisha urudisho la mali.
Kwa kufika uko tuli ti mkakati taswira la raïs Félix Tshisekedi inaostahili kubaka mali yetu ilio kuwa lengo mkuu .
Kwake, Muyaya Patrick, ame salimu uwezo enye imefikisha wana inchi la ndani na wa ndje zaidi viongozi yaki merikani walipo cheza jukumu kubwa.
Aki ongeza tena yakwamba serkali ya Congo bila wa andishi na wapasha habari pamoja na vigundi yoyote awangeli fika uko ,yakudyuwa inaomalizika kwa kinduku.
Gilbert Fundi.