Kufukuzwa kwa balozi ya rwanda Vincent karega ni modya ya ripoti ya maamuzi ambayo yalio chukuliwa ndani baraza kuu la ulinzi
Waziri msemaji wa serkali ya Congo ya kidemokrasia Patrick Muyaya aliye kuwa na mkutano na wa pasha habari siku la 31 octoba ongezi ilikuwa kuhusu hali ya u salama uko jumbo la kivu ya kaskazini.
Waziri Patrick Muyaya,ali funuwa swali lake kwa mapendekezo walio kamata uko baraza kuu la ulinzi enye ilio ongozwa na Raïs Félix Tshisekedi, kiisha mapambano ya vikosi ya Congo FARDC na waasi ya M23.
Maombi yalitowa zahidi kufukuzwa kwa balozi ya Rwanda inchi Congo akina Vicent karega.
Ya ku dyuwa Raïs alipo kusanya siku ile la jumamosi waziri wanamemba wenye wiko wana ya asili ya kivu la kaskazini. Kiisha tena Raïs ali ongoza baraza kuu ya usalama
ambako kulikuwa na ripoti na maamuzi ambayo yalio chukuliwa ndani yao ufukuzo la balozi ya rwanda na ilipo fanyishwa Patrick Muyaya aliripoti.
Waziri wa mawasiliano na vyombo vya habari mhe ali zilizotajwa kizuio baadhi ya hatua za mipakani kufuatia mfululizo huu mpya wa vurugu. alio ongeza tena kutokeya jumanne 01 novemba wana memba ya serkali wata safiri uko jumbo la kivu kaskazini dyuu ya leta msaada ya kibinadamu.
Kukabiliwa na hoja za Kigali kwa kuzingatia uongo Wakidai kuwa fardc na fdlr wanafanya juhudi za kuishambulia rwanda na waki ongeza kusema matamshi ya chuki ya wa kinyarwanda kuvaliwa na maafisa wa kongo iyo ni wongo mutupu
Waziri Patrick Muyaya kwa jina la serkali ya Congo alaani mtazamo wa Kigali wa kubembeleza.
Apa tuukemee mtazamo huu kigali ambao vikosi vyetu vitajibu hadi sadaka kuu kila inchi ya mraba itakapotolewa, alisema.
Muliyo sikiya ya kwamba Raïs Félix Tshisekedi ata sema siku idjao dyu ya ku tetea uadilifu wa eneo letu.
Yulio Fundi.