Kutafuta Amani siyo upumbavu na ayupo ku itika tendo lolote | waziri Patrick Muyaya

Kutafuta Amani siyo upumbavu na ayupo ku itika tendo lolote | waziri Patrick Muyaya

Kutafuta Amani siyo upumbavu na ayupo ku itika tendo lolote | waziri Patrick Muyaya

Kwa ongezi na wapasha habari Siku 30 Mei Kutokana na mapambano kati la vikosi ya fardc na wabakwa silaha la kigundi ya M23, waziri kusika na vyombo la habari Patrick Muyaya,alipo kemea usaidizo la Rwanda kwa kigundi ilo.

Ndani ya ongezi waziri Patrick Muyaya alipo akikisha ya kwamba serkali ya Congo itakapo towa ishara nguvuni mbele ya msiba iyi ya ukusefu ya usalama kwa kipande iyi ya inchi Congo .

” Ni me taka, kwa jina la serkali kutowa shukrane kwa wana nchi wote popote wamepatikana kwa ginsi

 

Wame simama papo kwa papo djuu ya ku kata kiguruguru la M23,ndiyo ni me waza kwa ma Siku idjao tuta fanya nguvu tena dju ya kutowa uakikisho, kutafuto amani ayupo upumbavu na siyo ku itika tendo lolote “alipo tangaza.

Ya kudjuwa waziri kusika na vyombo la habari alipo sindikizwa kwa ongezi uhu mbele ya wapasha habari na msemaji ya pulusu pamoja na msemaji ya vikosi la fardc wote walipo alika raïa ya Congo ya kidemokratia

Wa kuwe wote nyuma ya vikosi kwa ajili kwa ma pambano uhu ushindi iwe ngambo la Fardc.

Gilbert Fundi

La Rédaction

Laisser un commentaire

Votre adresse e-mail ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *