Waziri kusika na mambo la biashara ndogo ndogo Eustache Muhanzi na musamaji ya serkali waziri Muyaya Patrick walipo towa swali kuhusu biashara ndogo ndogo Siku ya 23 disimba mwaka uhu,kwa tukiyo waziri Eustache ame akikisha msada wa serkali
Kwa vijana wajasiriamali wa Congo n’a kuwa kumbusha vinucta vitatu vya mpango. » Lazimishwa kwa vijana wanaume n’a wanawake wapate mafundisho kwani kwakuwa » wajasiriamali wame pashwa kupata fasi sokoni.
Kwa swali waziri Eustache alipo alipo sema kwa enye imedayi mafunzo kwa vigundi maalum wakala taifa ya maendeleo ya wakandarasi wenye surala vijana kwa mradila maendeleo ya utotoni biashara ikiwa pa Kinshasa,Matadi, Goma, Lubumbashi na ikitowa ruzukukwa vijana wengi, serkali îme wezesha lafudhi mikopo kwao.
Kwa iyo shuguli imeweza pia kusabiya taji la udamini ya wakandarasi.waziri Muhanzi akisema tena kwa Yale îme angaliya upatikanadji sokoni walitangaza sheria la tshini la ufanisho ( outsurcing)unaotadjwa kwa wa congomani .
Kwake waziri Patrick Muyaya,alipo ongeza ivo ya kwamba gawizo la serkali îme andishwa kwa maono ya raisi Félix Tshisekedi.vijana inawakilisha uwengila la raïa imawakilisha kuwa pamoja nao kwa wazo lawo mpya ya maendeleo ya jamuhuri.
Ni halisi la msahada la serkali kwa faraja la vijana wanao usika na kuleta michango la maendeleo.