Maman mlinzi wa taifa ameleta urembo ndani ya maisha la msika Naomia yéyé aliye pona na kulunguzwa kwa moto.

Maman mlinzi wa taifa ameleta urembo ndani ya maisha la msika Naomia yéyé aliye pona na kulunguzwa kwa moto.

Yulio Fundi.

Ulipokuwa furaha sana kwa Mama mlinzi wa taifa Denise Nyakeru Tshisekedi kupokeya mutoto Naomia wa myaka sita (6), aliye lunguzwa kwa moto kali pa kipande Tsha bega ya shoto, shingoni, na kipande ya shoto pa sura lake.
Ku guswa na msiba uhu mama wa taifa akudjipa ushingizi machoni na aka omba kigundi sha maendeleo FDNT wa towe mkono kwani mutoto uyu Dada Naomia apate  usahidizi ya matunzo la kawaida.


Kwa iyo, kupitiya kwa watu wenye kudjitolea ndani la kigundi FDNT, wakaleta msahada la maana dju Naomia sura zake irudi Sawa vile ilipo kuwa mbele .


Kwa kutowa asante kwa mama wa urembo yéyé ndiyo tena Mama mlinzi wa taifa ,njo djama la Naomia wote wa li pokelewa na Mama Denise dju watowe ushuudi kuhusu msahada ilo ime ponyesha maisha ya mutoto uyu, ya kudyuwa bila msahada iyo la Mama wa urembo maisha ya mwanae ingeli aribika kwani vitunzo uyu ili omba msahada kubwa na la kawaida.


Kwa kuona Naomia Mama mlinzi alipo telemusha machozi la furaha kwani mwili  ya uyu dada imekuwa tafazali aka furahi sana tena na zahidi .

juliomutoto

Laisser un commentaire

Votre adresse e-mail ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *