Ilipokuwa pamoja kwao waeshimiwa waziri kusika na utamaduni,usani na urithi Mama Catherine furaha na waziri kusika na mambo la wapasha habari Patrick Muyaya walikuwa mbele la wapasha habari dyu la kuwaeleza swali kuhusu uwa ndishwadji la muziki la rumba kwa urithi pa UNESCO.
Kwa eneo lake mu Afrika Pia pa ulimwengu ,muziki la rumba ikiwa enye kutambuka umri,Bara na kupita kwa ushindi la uhuru leo yame nyanyuliwa kuwa urithi la utamaduni halina mahana lolote pa UNESCO kotuka Siku 13 pa 18 dicemba kwa mwaka hu pâle Muji mkuu Paris inchini ufransa.
Kwa Shangwe ili, waziri Patrick Muyaya la wandishi pia na musemaji wa serkali pamoja na waziri la utamaduni,usani pia urithi walipo towa Siku la 9 mwezi uhu , swali kuhusu uwezo enye rumba inao tembeya na leo kuwa nyota enye imetowa mwangaza la urithi ya Congo ulimwengu mzima.
Kwa elezo lake waziri Catherine furaha, kwa kufika kwa unyanyulizi iyo vitendo mingi ili fanyiziswa ushangilio uhu itakapo fanyizwa fasi pia akiongeza kazi la diplomasia nao ilipo ongezwa na baraka la waziri la kwanza la serkali, aki ongeza tena tovuti la N’sia mfumu kwa wilaya la Moanda kupitya kongo central ilipo kuwa zamani njia la wa tumwa makao njo ime tshaguliwa kuwa fasi mkuu pia kipaumbele kwa mandamani ili.
Kwa utangalisho kwake waziri Patrick Muyaya,akiongeza ya kwamba muziki la rumba inajeza jukumu la kwanza ndani ya ulimwengu yupo hiba la historia la muziki ulimwenguni.aki ongeza kunganishwa kwa waziri lake pamoja na la utamaduni, usani pia urithi pamoja na utalii kwa ajili « uelezo Nipya » kuwa namna nzuri la kutowa swali.
Kutambuwa kwa UNESCO fasi mkuu la rumba ndani ya ulimwengu imeonesha ya kwamba rumba imeendelea kwa andiko historia letu popote ndani ya ulimwengu.
Gilbert Fundi