Ilipo kuwa Siku la kwanza la mwezi la decemba tunayo,waziri kusika na mambo la wandishi ali pokeya wasemaji la vikosi FARDC na ya polisi dju walete swali kusika uyingizo la vikosi la Uganda pa Congo la kidemocratia.
Kwa ufunuwo la masemi kwake waziri la wa pasha habari Patrick Muyaya, alitowa swali lake kuhusu madjambazi Wale wakileta vilio na ma wuwadji,wame pikwa kwa muungano la vikosi dunia nzima ndiyo mahana vikosi la kidemocratia ya congo wame dji unga pamoja na vikosi wa Uganda kusudi wa malizane na ma bebero la adf- nalu, kwani kigundi iki wame tenda bisa ya ma wuwadji ndani ya Congo zahidi pia na Uganda, tena aka ongeza ya kwamba serkali ya Congo ku pitiya commishen la ukingo pa tshumba la bunge ndiyo walipo towa habari na wao walipo leta usindikizi kwa serkali dju Wale ma bebero la adf- nalu wapate malipizi la muhimo, kwani wame mwanga damu sana kipande ilo.
Kwa swali lake djemadari Kasonga ,yeye alipo onesha ya kwamba vikosi la kidemocratia ya congo wako ndani ya kazi lao la ukingo udongoni la inchi,na vipiko enye wako na zibula ma bebero la adf-nalu ime fanyizishwa pa secta la pori ndani ya makao ya ma aduyi pamoja na vigundi zingine la wa mayi- mayi,kwa kipande ilo.
Ku ongezwa kwake swali afande Mwana Mputu a lipo ongeza ya kwamba wame patwa musangazo kuona wana inchi wingine wako na furahi na wametaka serkali la usimamo ipate fezeya,aki ongeza tena Nani kati ya wacongomani ataka po itika kidjidji moja ya Congo iwe tshumba la wa islamiste ?
Aka endeleya na kuongeza ya kwamba raia wote wawe nyuma la serkali kwani Amani irudi inchini Congo ya kidemocratia.