Jenerali Kasongo wa polisi alio kutana kirongozi wa Kadima wa CENI juu ya suala la kufanikisha mchakato wa uandikishaji,
Kirongozi wa CENI, Denis Kadima alijadiliana na Jenerali Sylvano Kasongo, jana Ijumaa juu ya suala la kufanikisha mchakato wa uandikishaji, ambapo malalamiko kadhaa yanasikitishwa na fedha za kupatikana kwa kadi hiyo na vyombo vya polisi.
Jenerali Kasongo anamhakikishia Kadima kwamba aliyekaidi ataadhibiwa na kuwataka wakazi kujitia adabu pia kwa kuheshimu maagizo yaliyotolewa.
Katika maeneo ya moto ambapo wahalifu vijana wanaoitwa Kuluna wanapatikana, anaahidi kupeleka vikosi vya ziada ili kuwalinda watu na mawakala wa CENI.
Gnk Ramazani