Udjio ya mfalme philipi ya ubeleji inchini Congo ya kidemokratia | briefing presse

Udjio ya mfalme philipi ya ubeleji inchini Congo ya kidemokratia | briefing presse

Mfalme philipi ya ubeleji atafika Lubumbashi na Bukavu na atakapo fanya Siku 7 inchini Congo

Udjio ya mfalme philipi ya ubeleji inchini Congo ya kidemokratia | briefing presse

Kwa udjio ya mfalme philipi ya ubeleji inchini Congo ya kidemokratia mkutano maluum vigingi mtazamo ya uhusiano kati ya Congo na ubeleji ilipo fanyizishwa Siku 6 juni 2020 kwa waziri kusika na vyombo la habari Patrick Muyaya pamoja na waziri la kwanza makamo Christophe Lutundula Apala.

Ya kudjuwa kwani ziari ya mfalme ya ubeleji philipi ndani ya Congo itakapo fanyizishwa Siku 7 mpaka siku 13 juni 2022,ita kuimarisha uhusiano baina nchi kati kinshasa na bruseli,nyakati ingine ilikuwa ndani ya mvurugu,Udjio iyo ya mfalme ni ya kwanza kiisha ya mfalme Albert kwa mwaka 2010 na ime chapa majira ya kawaida ndani ya mkakati ya kidiplomasia iki anza kwake raïs Félix Tshisekedi.

Kwa ukumbusho la muyimo mfalme philipi atakuja na malkia Mathilde na waziri la kwanza Alexandre De Croo.waziri Christophe Lutundula alisisitiza ya kwamba safari iyi ni kwa mapenzi ya kisiasa ni kweleza kiisha nyakati ya mivurugo ya uhusiano kati Congo ya kidemokratia na ubeleji.

 

Udjio iyo ya mfalme philipi na mkee wake ni kidiplomasia ya dyuu ndani ya kisiasa,hakika tangia mwaka 2015, jamuhuri ya kidemokratia ya Congo ayi kuwa na uhusiano na wa yomba la ubeleji,”tulipo kuwa ya ku kabulana ni ya lazma mkuu udjioo uyu asa ndani la kigundi la umoja Yaki Europa”aliye sema Christophe Lutundula.

Tena aki ongeza ya kwamba Udjio iyo ya mfalme yupo djuu ya ufunuwo mardi mbali mbali na ushirikiano mshindi kupitiya defence.

 

Ku bakwa kwake masemi , waziri Patrick Muyaya alipo salimu uhusiano kati ya Congo ya kidemokratia pamoja na ubeleji .

” Pamoja na wa beleji itakuwa kumbu kumbu la upatanisho , Udjio yenye ku wandikwa ndani ya stratijiki ya kidiplomasia enye kubebwa na waziri Christophe Lutundula”alie sema Patrick Muyaya.

La Rédaction

Laisser un commentaire

Votre adresse e-mail ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *