Kwa yulio Fundi
Karibu madjambazi 100 wame shusha silah. Ni kati ya mupango ya mupito kwa adjili wengine wa rudi kwa maisha ya ki raïa, kudji peleka kwa fardc kwa madjambazi awa ni kupikwa ilizidi moto la jeshi fardc ili wa songa.
Djamadari Kasonga wa Fardc aliye fasiriya wandishi na wapasha habari ya kwamba tangiya mapambano aya, jeshi ili vumbuwa ma Ali wale madjambazi wame dji fitsha. wengine wame ingiya ndani la raïa.
Kwa leo nguvu yao aina tena kama mawaida ndiyo wame badirisha hali ya mapambano. Wame djielekeza uko kwenye fardc awiko ndjo wametenda ma uwadji na ku tchinja watu sawa vile nyama kwa mpanga.
Kwa djimbo la Ituri,jeshi la Congo wame piga gundi la codeco, ADF,fpic, madjambazi 39 waliwawa,1 ali shikua,na 5 wakibakwa na ma silah wengi na vifaa la ki askari kwa ushindi ilo kazi yame rudi kwa raïa na vyashara yote ni kwa ajili ya ushindi la Fardc.
Jeshi la Congo wame baka vijiji mikuu 20 enye iliye kuwa mikononi la vigundi yenye kubaka silah pa Beni na kando kando la Butembo,jeshi la Congo wame kamata 35 adf manteka kayi yawo wageni 14 na viongozi mitano za adf.
Fardc kwa kazi kuu wamebaka 70 wajanja waki tumika na adf kati lao wacongomani, jeshi la Congo amebaka ma gari mitano na tuku- tuku nyingi enye iliye tolewa kwa mu fanya vy’ashara modya kwa wa adf.
Kwa campuni la mwalika raïa 38000 walikuwa wame ishi kwa kazi la shamba ila fudjo la vigundi yenye ku baka silah ili haribu Amani kwao kisha kupita kwa fardc kazi yame rudi.
Kidjidjini mayangos kandokando la Beni 36000 raïa wafanya kazi la mashamba na kifugo wame rudi makao lao kisha kurufshwa kwa Amani kwa fardc .
Campuni la Medina kule njo makao mkuu ya Wale wawuadji jeshi la Congo wali kuta vyombo kuu la na ma bombe wa adf wali jenga ma bunka na vyumba kuu la ufitsho ndani la udongo fardc alikuta n’a vi faa la ma jeshi.
Muji karawe,kazaroho,p43,njia kamango kipande la Beni- owitsha na mamove yuko leo mikunoni la fardc.
Secta la opereshen sukola 2 pa Nord Kivu , yuko na mijijini masisi na rutshuru, jeshi la Congo walipiga na kushinda wa nyatura ,fdlr,apcls,ndc rénové na ku kamata vijiji mkuu 12 na madjambazi 33 18 wabakwa silah waki jileta na vi faha mkuu la kijeshi.
Kupitiya campuni la ufasiriyo kwa viongozi la Djugu na irumu kwa adjili wafasiriye vijana wa sadiye jeshi na wayoke ndani ya vigundi la wabakwa silah kwa ki nguvu.
Jumbo la Nord Kivu jeshi ili arakisha kubeba wana schule wenye wali bakwa manteka kwa maimai na kuwa rudisha makao zao kwa Muji la tshani- tshani.
Kwa leo gundi la jeshi waki fanya ki muganga nao wako wana tumika kwa ajili ya kutunza watu pamoja na vigundi vya maendeleo uko Jumbo la Kivu karibu 350 askari jeshi.
Kwa ajili Amani irudi imeombwa n’a sisi zote tu dji unge mukono ndiye mwisho ya repoti kwake djamadari Kasonga la fardc.
Kwa mwisho la ripoti ilo waziri Patrick Muyaya alisema ya kwamba serkali ya Congo ametowa kwa zake ya usindikizi la mupango la kipindi cha ulinzi na vigundi la ma inchini kando kando la Congo,na vigundi la intellidgence, na la DDR yote kwa adjili yaku fanyiza kazi nzuri na kurisha Amani kipande uko la jamuhuri ya kidemokratia ya Congo.