Wahudumu Patrick Muyaya amefunuwa ongezi nyipya mkutano briefing hebdomadaire.
ilipo fanyizishwa siku 10 mwezi uhu mkutano briefing hebdomadaire , wahudumu Patrick Muyaya aliye towa swali kuhusu ongezi la mkutano ya serkali enye ilipo fanyizishwa siku ya Saba la mwezi uhu na miulizo ya habari.
Wahudumu aliye anza kwanza na habari kuhusu matatizo la Muji Kwamouth na alipo towa Hoda kwa wahudumu kusika na Mambo la usahidizi djuu wafike pa fasi ilo.
Kwa msiba iyo liwali wa Jumbo la Mai-Ndombe, ali towa habari ya kwamba watu 180 walio fariki kwa mapambano kati ya vigundi la wa teke na wa yaka.
Na yupo nafanya lolote kusudi Amani irudi” uko aliye sema Patrick Muyaya.
Wahudumu Patrick Muyaya,alipo sema tena raïs aliye sema waguruguru la sheria inapashwa wrudi pa mstari.
Ongezi la raïs enye muhudumu mkuu alio naye ongeza wazo la ongezi na wa ganga pa Bibwa kusudi ya mapatano njema tumefanya maongezi kuwa baraza la mapatano nao alio sema wahudumu kusika na vyombo la habari.
Kwa kipindi ya pili, kusika na ukingo la ndani nayo wahudumu kusika na ulinzi alie towa swali lake kuhusu ma opreshen uko tokona vijiji la serkali la msimamo, ya kudyuwa naye wahudumu kusika na afia alipo sema naye mambo la afia kwa mkutano iyo ya waziri.
Wahudumu Patrick Muyaya alipo sema kunako mipango enye ilio kamatiwa na itako pata kubali kwa wa kubwa .
Ndani ya ongezi ilo ilikuwa nao ripoti la fedha iyi ime pita ginsi ilio waziwa kwa mwaka uhu.
Kuhusu faida lao kwa raïa ya kudyuwa serkali amelipa kila mwaka umeme 40% kwa ma gari , ndege na lolote alipo ongeza wahudumu Patrick Muyaya.
Kupitiya ukaribisho la raïs Sassou Nguesso pa Kinshasa, wahudumu Patrick Muyaya aliongeza ya kwamba kunako Mambo nyingi ya ongezi kuhusu nchi miwili udjiyo iyi siyo nyipya kwani kila mara wamekutanaka dyuu Ongezi kuhusu ukingo,Amani na maendeleo.
Gloria Kimfuta.