Ilipo kuwa mbele ya wa andishi Siku ya 20 la mwezi wa desimba Mwaka uhu njo waziri mku kusika na mambo la wapashiji habari Patrick Muyaya alipo towa swali pamoja na musemaji wa vikosi la fardc djemadari Kasonga na kanali Mwana Mputu wa polisi.
Kwa swali lake waziri,ilipo kuwa muhimo kuleta pôle kwa jamah la Mwana inchi Olivier yéyé alifariki uko ndani ya nyumba office la polisi kiisha ku pigwa akifa , na tena akiongeza mambo kuhusu tabia mbovu ya wa polisi wingine wenye kutumikisha Sila, kwani mukamata picha la office antenne A naye alipo kufa kwa risasi,tena waziri kusika na ujengo pamoja na wa deputy walipigwa mbeku tena kwa wa polisi uko mta ngaliema na tena mambo zenye yame pita uko mashariki la Kivu kwenye wongo ilipo tolewa kwa udjio wa polisi ya kinyarwanda pa Goma nayo ika leta utatizo mtshana nzima.
Kupatwa masemi kwake kanali Mwana Mputu wa polisi yeye alipo towa mizania ya fudjo ,watu kumi na Saba walipo umizwa kati lawo ,polisi Tano na rahia kumi na mbili .watu ine wali fariki kati lawo polisi moja,motard moja mutoto moja na bwana moja.watu kumi na moja wame naswa kusudi wapate malipizi .
Kwa swali lake djemadari Kasonga, alipo onyesha ya kwamba vigundi zenye ilipo itisha watu kusudi wakae nyumbani yao Wiko kweli wajibu mbele ya serkali kwani wame towa fudjo kwa serkali la msimamo pa kipande ilo na wame stahiri kusambiswha mbele ya serkali.
Waziri Muyaya Patrick yéyé alipo ongeza ya kwamba ilipo kuwa kwa mwezi la octoba ndiyo djamadari la polisi bwana Hamuli alipo Pata wajibu ya kuongoza kamati wa polisi uko Afrika mashariki kigundi yenye kuleta usiliano kati ya ma nchi djerani,na akiongeza djemadari Hamuli ayupo na agano ya kuweza ku itishwa polisi la nchi ingine ilipo kuwa wongo ya ma aduyi na imeleta lufi kipande iyo.
Kurudiliya uko kazi enye vikosi wa uganda pamoja na fardc wako na fanya walipo safisha ma njia na kubaka ma djambazi 35 la adf,na kupika bya mudondo uko makaho lao na mazingira.
Kwa ku maliza waziri Muyaya alipo rudiliya tena magendo ilipo fikiya marehemu Olivier,fezeya ilipo mfikiya liwali Atout matubwana na mambo enye ilipo mfikiya waziri la majengo pa mbudi.
Gilbert Fundi.