Kutokana na mambo la mvurugu , tuna funguwa vipaji vyote na ya mahakama| Patrick Muyaya
Ilipo kuwa kupitiya ongezi Siku 07 julai 2022 ,waziri kusika na vyombo la habari Patrick Muyaya pamoja na naibu waziri mkuu Christophe Lutundula , waliye towa swali lao kupitiya mkutano wa tripartite enye ilipo fanyizishwa pa inchi ya Angola enye ilikusanyisha RDC- Rwanda.
Walio towa mkazo kutokana na ma njia zote ,kunako njia ya mahakama ndiyo njia ya ku karipisha wale wenye kuleta mawuwadji kipande ya Congo ya mashariki,Wakati idjao, alie sema waziri Patrick Muyaya mwenzake ule mwenye ameusika na mambo la nje pamoja na yule ya ulinzi wata tumika uko rekodi iyi.
” Tume kusanya mambo ya ushahidi, wana pashwa ku pata malipizi kwa vitendo lao, alipo towa mkazo.
Gilbert yulio Fundi