Shauri kuu la sauti la uonadji ya kikongomani (csac) wame towa mapendekezo kuhusu utangazaji la habari kwa magendo ya uchokozi la Rwanda ichini kongo

Ilipo fanyizishwa Siku 16 june,pa kinshasa mkutano la tshumba csac walipo towa angalisho na mapendekezo kuhusu namna ya kutowa habari kwa wakati iyo la mapambano kuhusu vikosi la fardc na wabakwa silaha kigundi la M23 wenye kupokeya msahada kutoka Rwanda.

Ilipo somwa na kiongozi Chantal Kanyimbo mbele ya wapasha habari, mstari enye inapashwa ku kamilika, kupitiya kazi la ufatanisho (CMMC); na swali la raia kutokeya yalichoamo vyombo vya habari kuanzisha wito la vurugu na uchochezi kwa ma Kabila sababu tena kusambaratisha vikosi la vikosi ya fardc.

Hivyo,kiisha”mdahalo wa ukombozi “kikao la csac amekupendekeza kwa wafanya kazi la vyombo la habari ,wa teteye habari n’a wa towe habari ginsi mambo imepita uko kipande la Congo la mashariki kusudi habari ilo i ambatane na kuleta usiliano kati ya makabila kipande iyo,wame kataza wapasha habari wa fanye mtokezo bila ku tiya namba kusudi wapike simu ,na wa eshimu udhibiti la kazi Yaki apasha habari.wame ime katazwa kutowa kotowa habari enye inaweza ki washa moto ndani ya la watu na vikosi mwenye atakapo kataha kutii serkali ita mu fatiliya .

Yulio godsend.

La Rédaction

Laisser un commentaire

Votre adresse e-mail ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *